ILANI YA CCM 2010 PDF

alias ‘Msomaji Raia’ argued that if CCM was not Nyerere’s mother, and thus could Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, Oktoba 31 ILANI YA UCHAGUZI YA CCM YA MWAKA – UTANGULIZI 1. Katika Uchaguzi wa kushindanisha vyama vingi vya siasa ili kutwaa. wa ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka kwa by, , Mpigachapa Mkuu wa Serikali edition, in Swahili.

Author: Kazrarr Yozshular
Country: Italy
Language: English (Spanish)
Genre: Education
Published (Last): 11 December 2011
Pages: 141
PDF File Size: 9.4 Mb
ePub File Size: 19.10 Mb
ISBN: 895-4-41700-501-1
Downloads: 81572
Price: Free* [*Free Regsitration Required]
Uploader: Datilar

Mwelekeo wa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi katika kipindi cha 2005-2010.

Hali ya Nchi yetu 7. Modenaizesheni ya uchumi inalenga katika kuongeza uzalishaji, ufanisi na tija katika uchumi hususan katika kilimo, ufugaji, uvuvi na viwanda.

Aidha, ukame na hali ya kudorora kwa uchumi wa dunia mwanzoni mwa mwaka ni miongoni mwa changamoto kubwa zilizojitokeza katika kipindi hiki na kudhoofisha uwezo wa Serikali katika kuendeleza huduma muhimu za ccm na kijamii kwa wananchi. Ujenzi wa msingi wa uchumi wa kisasa wa Taifa linalojitegemea unaotumia kwa wingi sayansi na teknolojia katika shughuli za uzalishaji mali na utoaji huduma,35unahitaji huduma za umeme na maji zinazotolewa kwa uhakika.

Kuimarisha uongozi wa Vyama vya Ushirika na kuvijengea uwezo kujiendesha fcm ufanisi. Eneo letu la maji baridi lenye maziwa makubwa 3 na madogo 29 lina jumla ya kilometa za mraba 54, ambazo zinaweza kutumika kwa uvuvi.

Tukiyamudu Mapinduzi hayo, uchumi utakuwa wa kisasa unaoweza kuzalisha ziada kubwa ya mali na kutoa huduma za kijamii zilizo bora zaidi kwa manufaa ya wananchi wote. Maumbile ya Visiwa vya Unguja na Pemba yamesheheni utajiri mkubwa wa maliasili ambao ni kivutio cha watalii. Kuhusu Mapinduzi ya kilimo, Serikali itatekeleza yafuatayo: Wananchi wamehamasishwa kushiriki katika ulinzi wa maeneo yao kwa njia ya ulinzi wa umma na Polisi 2100.

Kulipatia Taifa mavuno mengi ya kuuza ili kupata fedha za kigeni kwa ajili ya maendeleo ya nchi. Vile vile kuwahamasisha wananchi kuchangia upimaji wa mashamba yao na kuwapatia hatimiliki za kimila, pamoja na kujenga masjala za ardhi katika ilahi za Wilaya na Vijiji.

  JM COETZEE WAITING FOR THE BARBARIANS PDF

ILANI – CCM PARTY MANIFESTO | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today

Mapinduzi ya kilimo ni msingi wa ukombozi wa uchumi wa nchi yetu. Kuhusu masoko, Serikali itatekeleza yafuatayo: Kuendeleza jitihada za kuhifadhi mazingira katika mbuga za wanyama, misitu fukwe, za bahari na maziwa. Kuajiri walimu wa kigeni ili kufundisha na kukuza vipaji vya wanamichezo hasa wa mipira wa miguu, mpira wa kikapu, riadha na judo. Mpango huo utawawezesha vijana hao kwa: Kuendelea kuweka msukumo katika uandikishaji wa watoto wote wa rika lengwa katika ngazi ya Elimu ya Msingi kufikia asilimia mwaka Kuyaendeleza maeneo maalumu ya kufanyia shughuli za biashara ndogo ndogo hasa mijini na kuimarisha mfumo na taratibu za utoaji wa leseni za biashara wenye kuzingatia usafi wa miji na hifadhi ya mazingira.

Kuweka utaratibu shirikishi wa upandaji miti, uvunaji na udhibiti wa moto. Ufugaji ni moja ya sekta zinazohitaji kusimamiwa ili iweze kuchangia ipasavyo katika uchumi wa kisasa.

Katika kipindi kilichopita Serikali ya Mapinduzi Zanzibar chini ya uongozi wa CCM, imepata mafanikio makubwa katika ujenzi wa miundombinu ya kiuchumi, kuimarisha ustawi wa jamii na kuvutia uwekezaji na biashara. Kuibua maeneo mapya ya vivutio vya utalii yakiwemo mapango, michezo ya asili, matamasha, maeneo ya hifadhi ya wanyama ZooAquarium na kijiji kilichozama Mkumbuu kisiwani Pemba na kuongeza idadi ya watalii na muda wa kukaa nchini. Kuendeleza na kuboresha mfumo wa ukusanyaji, uhifadhi, uchambuzi na usambazaji wa taarifa za masoko.

Kuendeleza elimu kwa Wafugaji ili wajue kuwa mifugo waliyonayo ni mali inayoweza kuvunwa katika umri na uzito muafaka unaokidhi mahitaji ya soko, ili kuwaondolea umaskini wao badala ya kuridhika na wingi wa mifugo iliyo duni na maisha ya kuhamahama.

Ilani ya CCM –

Ili kuendeleza ushirika, katika kipindi cha miaka mitano ijayo CCM itaielekeza Serikali kutekeleza yafuatayo: Miongoni mwa hatua zitakazochukuliwa na Serikali zitakuwa pamoja na hizi zifuatazo: Ja vivutio kwa ajili ya uwekezaji kwenye viwanda vitakavyotumia malighafi mbalimbali ziliopo nchini vikiwemo viwanda vya nguo, ngozi, usindikaji wa matunda, mbogamboga na usanifu wa madini ya vito. Kwa kuwa ardhi huwa haiongezeki lakini matumizi na watumiaji wanaongezeka kila siku, ili kuondoa migogoro baina cvm watumiaji wa ardhi, upo umuhimu wa ardhi yetu yote ipimwe, ipangiwe mipango ya matumizi bora, na imilikishwe kwa wananchi.

  HILDITCH AUCTIONS PDF

Jumla ya taarifa za miradi zilifanyiwa mapitio na maeneo ya miradi ya vitega yalifanyiwa ukaguzi.

Kuendelea kuwashajiisha wanafunzi wa kike kupenda masomo ya Sayansi na Hisabati kwa kuwashirikisha kwa wingi katika kambi za Sayansi na kufungua madarasa zaidi ya watoto wa kike. Hivi sasa asilimia 90 ya nishati tunayotumia nchini inatokana na tungamotaka biomass wakati mafuta ya petroli na umeme hutupatia asilimia 10 tu ya mahitaji yetu.

ILANI – CCM PARTY MANIFESTO

Kufanya uhakiki wa hoteli ili kubaini hali ilai ya kila hoteli, kupanga madaraja yake, kuzisajili na kuanzisha mfumo wa mawasiliano ya komputa kwa lengo la kuimarisha huduma, gharama na mapato ya Serikali. Kusimamia utekelezaji wa Mpango Mkuu Master Plan wa bandari ya Malindi, ikijumuisha huduma za bandari huru na kuendelea kutafuta uwezo wa kujenga Bandari Mpya ya Kibiashara ya Mpiga Duri. Kuendeleza mchakato wa kuanzisha Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara.

Baadhi ya mafanikio ambayo yamepatikana kutokana na hatua hizo ni haya yafuatayo: Umiliki wa ardhi pia ni moja ya malengo ya Mapinduzi ya Zanzibar illani tarehe 12, Januari Kuihamasisha sekta binafsi kutoa huduma ya pembejeo katika maeneo ya kilimo. Kufanya mapitio ya vivutio vya uwekezaji ili kuviendeleza na kuimarisha mtandao wa usambazaji wa habari za biashara kwa wafanyabiashara.